TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI

Mwezi May 2017, Kitengo cha Compyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) kilishinda zabuni ya Kutoa Mfumo, Vifaa na Huduma ya Uendeshaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es salaam (DITF), maarufu kama Maonyesho ya Sabasaba kwa kipindi cha miaka mitatu ...bofya hapo chini kusoma zaidi