
Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) kinatangaza nafasi za kazi za muda mfupi kwa ajili ya kutoa huduma za uendeshaji wa maonesho ya Nanenane yatakayofanyika mkoani Mbeya. Kuona Sifa za Mwombaji na Taratibu za Uombaji Ingia Hapa....TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI (NAFASI 25)