
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) anapenda kuwataarifu wasailiwa walioainishwa katika Jedwali hapo chini wamechaguliwa kwa ajili ya kazi ya muda mfupi kwenye maonesho ya Nanenane 2023. Hivyo, wanatakiwa kufika kwenye viwanja vya John Mwakangale vya Nane Nane (Mbele ya geti kuu la kuingilia) siku ya Jumatatu ya Tarehe 31 Julai 2023, saa 4:00 Asubuhi kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira.