
TANZIA
Wadau wote wa UCC.
Tunasikitika kuwataarifu juu ya kifo cha Mfanyakazi mwenzetu Ndugu Nyanyama Machumu, kilichotokea 8/5/2023 huko Dodoma katika hospitali ya DCMC. Taratibu za mazishi zinafanywa na Familia ya Marehemu kwa kushirikia na UCC nyumbani kwake Mapinga, Bagamoyo.
Raha ya milele umpe ewe Bwana na mwanga wa milele umwangazie.
Apumzike kwa amani.
Amina