University of Dar es salaam Computing Centre

Excellence, Innovation and Technological Foresight

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA AWAMU YA PILI KWA AJILI YA KAZI YA MUDA MFUPI KWENYE MAONESHO YA SABASABA 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) anawatangazia waombaji wote waliofanya usaili wa awamu ya kwanza kwaajili ya kazi ya muda mfupi kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara (44thDITF) ya Sabasaba yamwaka2020 kuwa usaili wa awamu ya pili umepangwa kufanyika tarehe 28/06/2020 kuanzia Saa 4:00 Asubuhi makao makuu ya UCC yaliyopo Chuo Kikuu Cha Dares Salaam, Kampasi ya Mlimani mkabala na Benki ya NBC.

Kwa maelezo zaidi soma kiambatanisho